Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,363
- 31,504
Zaidi simba wajiandae, vinginevyo watapigwa tena 4Gkutoshana nguvu na kaiizer chief ingekua vizuri zaidi
Zaidi simba wajiandae, vinginevyo watapigwa tena 4Gkutoshana nguvu na kaiizer chief ingekua vizuri zaidi
Zaidi simba wajiandae, vinginevyo watapigwa tena 4G
Inasemaje ili iweje vile4G ynyw kwan inasemaje?
Vile natamani kupaaInasemaje ili iweje vile
Vile vyura walivyofurahi Jana basi sisi Simba Sports Club ndio tunafurahi vile kila sikuInasemaje ili iweje vile
Siku ya leo kibaridi kimezidi, mvua haitulii kabisaVile vyura walivyofurahi Jana basi sisi Simba Sports Club ndio tunafurahi vile kila siku
Nalog off
Kupaa kweli? Wacha nije na ndegeVile natamani kupaa
Kabisa ukizingua utazinguliwaSiku ya leo kibaridi kimezidi, mvua haitulii kabisa
Ndege john tumemsahauKupaa kweli? Wacha nije na ndege
Utazinguliwa wewe au mimiKabisa ukizingua utazinguliwa
Tumemsahau aliyetuita wanyonge mara hii tu!?Ndege john tumemsahau
Tu na too si haziendani kabisaTumemsahau aliyetuita wanyonge mara hii tu!?
Kabisa yani ukaniibiaTu na too si haziendani kabisa
Kabisa wanadamu tumeumbwa kusahauTu na too si haziendani kabisa
Ukaniibia wakati sina kituKabisa yani ukaniibia
Kitu na kitu vikikutana vinazalisha vituUkaniibia wakati sina kitu
Vitu vinavyoonekana na visivyoonekana vimeumbwa na Mungu.Kitu na kitu vikikutana vinazalisha vitu
Mungu mwenyewe ni fumboVitu vinavyoonekana na visivyoonekana vimeumbwa na Mungu.
Fumbo lililo jibuMungu mwenyewe ni fumbo
Utazinguliwa na raia wanaoishi chini ya dola mojaKabisa ukizingua utazinguliwa