Wa mwisho ndiyo mshindi

Wanapozaliwa watoto kwenye hili suala la kupeana Majina, inasemekana kuna baadhi ya Majina siyo mazuri kuwapa watoto kwasababu mtoto atakapokuwa mkubwa kuna vitabia, au kuna baadhi ya mikosi mtoto anaweza kukumbwa nayo, na hii yote ni kutokana na Majina anayopewa Mtoto baada ya kuzaliwa.
Mkalimani wa Bibi na mgosani, je kuna ukweli wowote kuhusiana na hili, au ni dhana potofu tuliyoaminishwa?
Tuliyoaminishwa kuwa majina asili ni bora zaidi kwa Babu na Bibi Japo huweza kumuadhiri mtoto katika umri wake wa utu uzima lakn sio yote baadhi huwafanya kuwa shupavu
 
Back
Top Bottom