Kitotole
Senior Member
- Jan 18, 2020
- 138
- 228
Tunaitaka hiyo kwiyo. Nchi yetu ina kila aina ya rasilimali ambazo kupitia kwazo tunaweza kujitegemea na misaada tukawapa wao. Ukiangalia kwa undani hata hizo hela wanazotupatia haziendani na mali wanazochukua km fidia. Cha msingi ni kuwapiga chini tujikongoje wenyewe maana tuna ardhi yenye rutba, tuna madini, tuna bahari na maziwa tuna mbuga za wanyama tuna gesi. Wao waende zao tujenge nchi yetu wasitubabaishe banaKikamilifu lakini hela zao bado tunazitaka