scrappy
JF-Expert Member
- Apr 8, 2019
- 412
- 498
Ndoto ni mwendelezo ya mawazo na matukio uliyokumbana na yao akilini mwa binadamu ukiwa umelalaMaendeleo bila kujituma ni kama ndoto
Ndoto ni mwendelezo ya mawazo na matukio uliyokumbana na yao akilini mwa binadamu ukiwa umelalaMaendeleo bila kujituma ni kama ndoto
Ndoto ni mwendelezo ya mawazo na matukio uliyokumbana na yao akilini mwa binadamu ukiwa umelala
Mzito kama tipwa tipwa
Tetema yani kama vile jeneretaTipwa tipwa tetema
Tetema yani kama vile jenereta
Umeme vijijini unawaka, piga makofi kwa rais magufuliJenereta la umeme
Rais Magufuli tunamuombea kwa Allah ampe nguvu kuongoza Umma wa Africa..Umeme vijijini unawaka, piga makofi kwa rais magufuli
Mbinde au mchongo msafara upo mbeke kwa mbele..Magufuli jembe 2020 anashinda tena jambo kwa mbinde
Mbele ya jiweMbinde au mchongo msafara upo mbeke kwa mbele..
jiwe walilolikataa wahashi limekuwa jiwe Kuu la pembeniMbele ya jiwe
Pembeni ya mto imeokotwa maitijiwe walilolikataa wahashi limekuwa jiwe Kuu la pembeni
Maiti zinazo Tembea mjini ni nyingi sanaaaPembeni ya mto imeokotwa maiti
Nyingi sanaa zimeokotwa ufukweniMaiti zinazo Tembea mjini ni nyingi sanaaa
ufukweni mzee kunakuwaga na watoto wazuriNyingi sanaa zimeokotwa ufukweni
Wazuri kama malaikaufukweni mzee kunakuwaga na watoto wazuri
malaika na shetan nasikia eti wote ni nduguWazuri kama malaika
malaika na shetan nasikia eti wote ni ndugu
Boga ni tamu japo sijawahi Kula.....Ndugu kama kiaz na boga