Kitotole
Senior Member
- Jan 18, 2020
- 138
- 228
Nimerudi jf kwa mbinde na account nyingine baada ya miaka minne kuwa nje ya jukwaaKurudia rudia jambo moja ni mambo ya kijinga sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimerudi jf kwa mbinde na account nyingine baada ya miaka minne kuwa nje ya jukwaaKurudia rudia jambo moja ni mambo ya kijinga sana
Jukwaa hili lina utaratibu wake so jitahidi kuufuataNimerudi jf kwa mbinde na account nyingine baada ya miaka minne kuwa nje ya jukwaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuufuata utaratibu ndio mpango mzima..Jukwaa hili lina utaratibu wake so jitahidi kuufuata
Ujinga hauonekani kwa machokutolea hasira zako kwa mtu asiyekusiliza ni ujinga
Wajibu Unapaswa kutimizwa na kila mmoja wetuSheria zinabana kama hujatimiza wajibu