Mbambadu
JF-Expert Member
- Oct 25, 2019
- 253
- 458
Kiswahili ni lugha ya taifaZamharira ni neno la kiswahili
Kiswahili ni lugha ya taifaZamharira ni neno la kiswahili
Linaangamia kwa kukosa maarifa
Maarifa ya jamii! Hili somo nililipenda sana shuleLinaangamia kwa kukosa maarifa
Shule ya msingi mtakuja ndio niliyo soma
Niliyosoma nimeyasahauShule ya msingi mtakuja ndio niliyo soma
Underground wengi kazi zao ni copy and pasteMaarifa ni msanii underground
Paste utumbo utavuna fedheha...
Fedheha huleta aibuPaste utumbo utavuna fedheha...
Siamini kuwa 5G ni sababuMjukuu !? Tupe uthibitisho mimi siamini
Corona virus
Virus hivi vimeua watu wengi sana nchini ItaliaCorona virus
Kiswahili kigumu mpaka bancho kaamuua kuandika kimombo