Huyu Mimi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2019
- 2,573
- 2,091
Kiburi cha nini nchi Inalia njaaJeuri dawa yake kiburi
Nalog off
Kiburi cha nini nchi Inalia njaaJeuri dawa yake kiburi
Nalog off
Njaa ndio iliyonisukuma kugombania urais 2020 kwa ticket ya ccm ili nipige pesa zaidi ya trilion 2Kiburi cha nini nchi Inalia njaa
2 tu au kuna zingine hatizijui Zinaitwa ZisizojulikanaNjaa ndio iliyonisukuma kugombania urais 2020 kwa ticket ya ccm ili nipige pesa zaidi ya trilion 2
Nalog off
Zisizojulikana ndio zitakuwa nyingi zaidi.2 tu au kuna zingine hatizijui Zinaitwa Zisizojulikana
Zaidi ya zinazojulikanaZisizojulikana ndio zitakuwa nyingi zaidi.
Nalog off
Zinazojulikana Lazima ziwe maalumZaidi ya zinazojulikana
maalum kwa ajili ya kuwahonga wabunge ili katiba ibadilishwe na marais wote wastaafu watashtakiwa live bila chenga bila kusahau mafisadi.Zinazojulikana Lazima ziwe maalum
Mafisadi kama watu moyoni hawana utu Jasho la fukara kwao ndio sherehemaalum kwa ajili ya kuwahonga wabunge ili katiba ibadilishwe na marais wote wastaafu watashtakiwa live bila chenga bila kusahau mafisadi.
Nalog off
Sherehe ya kufa mtu itafanyika siku nikichukua form ya kugombea urais 2020 kupitia ccm,iwe mvua iwe jua mwakani naingia kichwakichwaMafisadi kama watu moyoni hawana utu Jasho la fukara kwao ndio sherehe
Kichwakichwa Unaweza Usipate KuraSherehe ya kufa mtu itafanyika siku nikichukua form ya kugombea urais 2020 kupitia ccm,iwe mvua iwe jua mwakani naingia kichwakichwa
Nalog off
Kura ndio huamua mshindiKichwakichwa Unaweza Usipate Kura
mshindi kashajulikana,ni mimi hapa,nimeandaa Tsh 8.9T kwa ajili ya uchaguzi huu,liwalo na liwe.Kura ndio huamua mshindi
Liwe Juu ama Chini amini Humu hakuna mwishomshindi kashajulikana,ni mimi hapa,nimeandaa Tsh 8.9T kwa ajili ya uchaguzi huu,liwalo na liwe.
Nalog off
Mwisho ndo hapaLiwe Juu ama Chini amini Humu hakuna mwisho
Hapa jf nimepachagua ili iwe ngome yangu ya kuombea kura,hapa nitagawa fulana,kanga na kofia.Mwisho ndo hapa
Kofia na khanga zimepigwa marufuku awamu hiiHapa jf nimepachagua ili iwe ngome yangu ya kuombea kura,hapa nitagawa fulana,kanga na kofia.
Nalog off
hii ni danganya toto nafikiri muda ukifika TAKUKURU watachomoa betriKofia na khanga zimepigwa marufuku awamu hii
Betri NI kipuri chenye kushadidia mtambo kuwaka...!!hii ni danganya toto nafikiri muda ukifika TAKUKURU watachomoa betri
Nalog off
Kuwaka kwa mafutaa kuliwaunguza wengi morogoroBetri NI kipuri chenye kushadidia mtambo kuwaka...!!
Morogoro NI mkoa ukiyobobea ardhi yenye rutuba na mazao.Kuwaka kwa mafutaa kuliwaunguza wengi morogoro