Wa mwisho ndio mshindi

W

Wambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2011
Messages
556
Points
225
W

Wambuzi

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2011
556 225
Habari wanaJF,

Ninaomba tucheze mchezo unaitwa "wa mwisho ndo mshindi"......... Ni mchezo rahisi sana, unaanzisha sentensi kwenye neno la mwisho la sentensi aloandika mwenzako.

Mfano:

Ualimu Tanzania ni kazi ngumu kiasi

Kiasi ambacho kama hukuzoea maisha ya tabu, utalalama kila siku

Siku uianze vizuri bwana, ukiianza vibaya lazima utukane mwenzio

Mwenzio ni mtu ambaye mnaweka hisia zenu pamoja bila kusalitiana kama dr. Ulimboka na madkatari

Madaktari wa Tanzania wanahitaji kulipwa zaidi........ (tuendelee kwa mtindo huo wanaJF, wa mwisho ndo winner.. Karibuni sana)
 
U

Ulimakafu

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Messages
21,463
Points
2,000
U

Ulimakafu

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2011
21,463 2,000
Duuhhh! Hii THREAD nafkiri ni mojawapo ya THREAD chache za muda mrefu zilizo ACTIVE na zenye COMMENTS nyingi,,, ndo THREAD ambayo nimewahi ku-comment kwa USERNAME kibao😂😂😂😂 ....
Sawa muzee.....
 

Forum statistics

Threads 1,334,527
Members 512,012
Posts 32,479,171
Top