Wa mwisho ndiyo mshindi

Mwisho wa ubaya aibu.
Auibu hii ya madai ya Madaktari kutaka huduma za afya ziboreshwe lakini serikali haioni inachoona ni kile cha maslahi tu na kung'ang'ania hapo kutupotosha, sijui CCM ikiangushwa viongozi watajificha wapi.
 
wapi pa kwenda sisi walala hoi tunwoshindwa kulipia matibabu hospital za binafsi ndio tatizo..lakini magamba wao wataenda nje nchi ikichafuka.
 
wapi pa kwenda sisi walala hoi tunwoshindwa kulipia matibabu hospital za binafsi ndio tatizo..lakini magamba wao wataenda nje nchi ikichafuka.

Ikichafuka unaitoa unaweka ingine ili BF wako asiione hyo shuka iliyotapakaa Shedo nyekundu.
 
damu salama inahitajika jaman kwa ndugu zetu wagonjwa wenye upungufu wa damu.usisahau kuchangia hata kama hakuna madaktari wa kuwahudumia lakini sisi tuwe tumewajibika kivyetu.

kivyetu vyetu ni sehemu ya kibwagizo kinachosikika kwenye nyimbo za msanii mmoja aliewahi kutikisa bongo flava kwa jina la Inspector Haroun, ila kwa sasa amefulia
 
Back
Top Bottom