Wa mwisho ndio mshindi

W

Wambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2011
Messages
556
Points
225
W

Wambuzi

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2011
556 225
Habari wanaJF,

Ninaomba tucheze mchezo unaitwa "wa mwisho ndo mshindi"......... Ni mchezo rahisi sana, unaanzisha sentensi kwenye neno la mwisho la sentensi aloandika mwenzako.

Mfano:

Ualimu Tanzania ni kazi ngumu kiasi

Kiasi ambacho kama hukuzoea maisha ya tabu, utalalama kila siku

Siku uianze vizuri bwana, ukiianza vibaya lazima utukane mwenzio

Mwenzio ni mtu ambaye mnaweka hisia zenu pamoja bila kusalitiana kama dr. Ulimboka na madkatari

Madaktari wa Tanzania wanahitaji kulipwa zaidi........ (tuendelee kwa mtindo huo wanaJF, wa mwisho ndo winner.. Karibuni sana)
 
Ally Jr

Ally Jr

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2016
Messages
2,392
Points
2,000
Ally Jr

Ally Jr

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2016
2,392 2,000
Marlaw ni moja kati ya wasanii wenye vipaji vikubwa sana sijui yu wapi
 
fizo talent

fizo talent

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2017
Messages
1,413
Points
2,000
fizo talent

fizo talent

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2017
1,413 2,000
Tu alisikika mshabiki wa arsenal akiwatania mashabiki wa man utd ambao walipigwa bao mbili ila alivyogeuka nyuma akasikia arsenal kapigwa tatu na liverpool
Nalog off
Liverpool anaweza akachukua premier league msimu huu
 

Forum statistics

Threads 1,334,123
Members 511,877
Posts 32,465,485
Top