Rijali jandoni
JF-Expert Member
- Apr 5, 2018
- 1,883
- 1,900
chatooo chatoo... na endeleaje tenaIkulu ndogo ya chamwino ni nzuri kuriko ya chato
#nduki....
chatooo chatoo... na endeleaje tenaIkulu ndogo ya chamwino ni nzuri kuriko ya chato
Tena na tena mpaka tuishi kama mashetani.chatooo chatoo... na endeleaje tena
#nduki....
ni noma sawaTena na tena mpaka tuishi kama mashetani.
Nalog off
Sawa sawa ...??? In voice of profesa Ibrahim Lipumbani noma sawa
Lipumba huyu huyu mchumi ama yupi?Sawa sawa ...??? In voice of profesa Ibrahim Lipumba
??? Hi alama inama anisha Nini??!!Lipumba huyu huyu mchumi ama yupi?
! hii ni alama ya mshangao??? Hi alama inama anisha Nini??!!
Mshangao tuliyopata umetukomaza na kujipanga !!! hii ni alama ya mshangao
Nalog off
! Nashindwa kuisomaMshangao tuliyopata umetukomaza na kujipanga !!
Kuisoma inahitaji kujitoa akili! Nashindwa kuisoma
Akili nayo ikizidi kichwani dishi linayumbaKuisoma inahitaji kujitoa akili
Linayumbayumba Kama behewa la mizigo...Akili nayo ikizidi kichwani dishi linayumba
Linayumbayumba Kama behewa la mizigo...
Mkuu wa wasiojulikana ndie inasemekana alifariki duniaMizigo gani mkuu?
Mkuu wa wasiojulikana ndie inasemekana alifariki dunia
Dunia yenye vimbwanga na visangaMkuu wa wasiojulikana ndie inasemekana alifariki dunia
Visanga vya kuchekesha na kuogofyaDunia yenye vimbwanga na visanga
Kuogofya ni kwa waoga ila watu ngangari hawaogopiVisanga vya kuchekesha na kuogofya
Hawaogopi??!!! Hahaaa.. wanaume siku hizi wanaogopa mpaka mendeKuogofya ni kwa waoga ila watu ngangari hawaogopi
Nalog off
Mende tu,kuna mwanaume alilala nje kisa ndani aliingia mtoto wa pakaHawaogopi??!!! Hahaaa.. wanaume siku hizi wanaogopa mpaka mende