Wa mwisho ndio mshindi

W

Wambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2011
Messages
556
Points
225
W

Wambuzi

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2011
556 225
Habari wanaJF,

Ninaomba tucheze mchezo unaitwa "wa mwisho ndo mshindi"......... Ni mchezo rahisi sana, unaanzisha sentensi kwenye neno la mwisho la sentensi aloandika mwenzako.

Mfano:

Ualimu Tanzania ni kazi ngumu kiasi

Kiasi ambacho kama hukuzoea maisha ya tabu, utalalama kila siku

Siku uianze vizuri bwana, ukiianza vibaya lazima utukane mwenzio

Mwenzio ni mtu ambaye mnaweka hisia zenu pamoja bila kusalitiana kama dr. Ulimboka na madkatari

Madaktari wa Tanzania wanahitaji kulipwa zaidi........ (tuendelee kwa mtindo huo wanaJF, wa mwisho ndo winner.. Karibuni sana)
 
life is Short

life is Short

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2013
Messages
4,666
Points
2,000
life is Short

life is Short

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2013
4,666 2,000
Kufikiria ni jambo ambalo kila mtu hulifanya nami nafikiria kuchukua form ili nigombanie urais kwa ticket ya ccm,iwe mvua iwe jua.
Nalog off
Just lipo kisogoni bila mwamvuli utaumbuka..!!
 
life is Short

life is Short

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2013
Messages
4,666
Points
2,000
life is Short

life is Short

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2013
4,666 2,000
Zengwe kubwa linapangwa ili kinyang'anyiro cha ubunge na urais 2020 ndani ya ccm uvunje historia ya nchi hii.
Nalog off
Nchi hii ya Tanzania ndiyo iliyopigania Uhuru kwa nchi nyingi za Afrika nyeusi....
 

Forum statistics

Threads 1,326,680
Members 509,566
Posts 32,230,825
Top