Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,363
- 31,500
Hajaazima bali ameazimwa!Zake ndiyo, hajaazima!
Hajaazima bali ameazimwa!Zake ndiyo, hajaazima!
Tena pale alipoingia tu shughuri ikaanza bila kuchelewaAmeazimwa nin tena?
Kuchelewa ni kosa kubwa sanaTena pale alipoingia tu shughuri ikaanza bila kuchelewa
Kuchelewa ni kosa kubwa sana
Wazungu poriWatu wengi ni wajinga ndio maana wanafuata dini za waarabu na wazungu.
Nalog off
pori la pale ikulu ni kubwa mno,huwezi kupita kama umekunywa pombeWazungu pori
Pombe sio chaipori la pale ikulu ni kubwa mno,huwezi kupita kama umekunywa pombe
Nalog off
Chai tamu, asikwambie mtuPombe sio chai
Mtu ambaye hajielewi ni rahisi kudanganywa.Chai tamu, asikwambie mtu
Mwerevu NI yule anaejituma kupitia ubongo Akili timamu...Kudanganywa huwa ni ngumu kwa mtu mwerevu
Timamu sana ndio huitwa mageniousMwerevu NI yule anaejituma kupitia ubongo Akili timamu...
Magenious wanakaribishwa ktk Ligi kuu...Timamu sana ndio huitwa magenious
Kuu kuu ni ile nguo iliyochoka ambayo huwezi kwenda nayo ikulu na kunywea pombeMagenious wanakaribishwa ktk Ligi kuu...
Kuu kuu ni ile nguo iliyochoka ambayo huwezi kwenda nayo ikulu na kunywea pombe
Nalog off
Wapi ambapo off side trick hawajawahi kufanya show?Off side Trick watoto wa kizanzibari wamepotelea wapi?
Showcase ya smartfone inamvuto wa kukushawishiWapi ambapo off side trick hawajawahi kufanya show?
Nalog off