Wa mwisho ndio mshindi

W

Wambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2011
Messages
558
Points
225
W

Wambuzi

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2011
558 225
Habari wanaJF,

Ninaomba tucheze mchezo unaitwa "wa mwisho ndo mshindi"......... Ni mchezo rahisi sana, unaanzisha sentensi kwenye neno la mwisho la sentensi aloandika mwenzako.

Mfano:

Ualimu Tanzania ni kazi ngumu kiasi

Kiasi ambacho kama hukuzoea maisha ya tabu, utalalama kila siku

Siku uianze vizuri bwana, ukiianza vibaya lazima utukane mwenzio

Mwenzio ni mtu ambaye mnaweka hisia zenu pamoja bila kusalitiana kama dr. Ulimboka na madkatari

Madaktari wa Tanzania wanahitaji kulipwa zaidi........ (tuendelee kwa mtindo huo wanaJF, wa mwisho ndo winner.. Karibuni sana)
 
life is Short

life is Short

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2013
Messages
4,704
Points
2,000
life is Short

life is Short

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2013
4,704 2,000
Tutaonekana wapumbavu sana, na watu tusio na utu kushabikia na kuwathamini watu wa hovyo, watu,, wasio na utu.
Utu gani ndgyangu ? Huu ni mchezo Kuna mshindi na mshindani acha munkari..
 

Forum statistics

Threads 1,342,579
Members 514,713
Posts 32,756,121
Top