Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,057
- 74,465
Nyepesi kama pambaKichina ni lugha nyepesi
Nyepesi kama pambaKichina ni lugha nyepesi
Pamba juu Almasi chini dhahabu sokoni Samaki ziwani hiyo ndiyo SukumaLand...Nyepesi kama pamba
Land Rover ndo magari pekee ambayo hata sasa likijitokeza jipya nanunua haswa!Pamba juu Almasi chini dhahabu sokoni Samaki ziwani hiyo ndiyo SukumaLand...
Haswa likiwa la kisasa nami nanunuaLand Rover ndo magari pekee ambayo hata sasa likijitokeza jipya nanunua haswa!
Know nothing is like saying nothing you knowToo much know
Kigumu sana,hasa kwa mtu asiye na jitihada.Kijapani ni kigumu sana
jitihada zifanyike kuufunga huu uziKigumu sana,hasa kwa mtu asiye na jitihada.
Uzi huu ufungwe tu hauna faida ila urudishwe ule wa kitupia picha za dem mkalijitihada zifanyike kuufunga huu uzi
Wambuzi alishapewa Tuzo la JF Mara kadhaa..Mkali wakutoa uzi unao tikisa Jr ni bwana wambuzi
Kadhaa inamaana ganiWambuzi alishapewa Tuzo la JF Mara kadhaa..
Gani ni kifaa cha kuchomeleaKadhaa inamaana gani
Kuchomelea vyuma au karangaGani ni kifaa cha kuchomelea
Karanga ni biashara inayotaka moyo kuifanyaKuchomelea vyuma au karanga
cha ziada kinaweza kuwa nq umuhimu kuliko kile tunachokifanya kuwa muhimuKuifanya ni kaz kama huna kipato kingine cha ziada
Muhimu ni kujenga msingi imara ..cha ziada kinaweza kuwa nq umuhimu kuliko kile tunachokifanya kuwa muhimu
Imara na ushupavu wa wananchi, utaifikisha nchi yetu pazuri.Muhimu ni kujenga msingi imara ..