mamylove
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 1,052
- 1,702
Thread hii muda huu imepoa watu wapo makazini wanawajibika
wote hawapo, tumebaki wenyewe, tunaweza kuiujumu hii thread
wote hawapo, tumebaki wenyewe, tunaweza kuiujumu hii thread
Wanawajibika kuthibitisha siyo wafanya kazi hewa !!Thread hii muda huu imepoa watu wapo makazini wanawajibika
Wanawajibika kuthibitisha siyo wafanya kazi hewa !!
Haifai kumsimanga mtoto wa kambo...Hewa chafu kuivuta haifai
Haifai kumsimanga mtoto wa kambo...
Kambo au Makambo
Makambo Ebenezer
Mtu asiyejulikanaEbenezer ni jina la mtu
Mtu mwema anajulikana kwa hulka...Asiyejulikana lakini ukuu wake upo wazi kwa kila mtu
Hulka Kila mmoja AnayakeMtu mwema anajulikana kwa hulka...
Akatae Kwan Ana Chenza ama Chungwa?Anayake yule atongozwae alafu akatae
Chungwa linaweza kuwa kubwa kuliko ladha ya tandoAkatae Kwan Ana Chenza ama Chungwa?
Ladha yake Ina ukakasi !!Chungwa linaweza kuwa kubwa kuliko ladha ya tando
Ukakasi Ni Pale Unapokosea Jinsi Ya Kuendeleza Huu mchezoLadha yake Ina ukakasi !!
Mchezo huu hauhitaji hasiraUkakasi Ni Pale Unapokosea Jinsi Ya Kuendeleza Huu mchezo
Hasira Ni Pale Unadownload Kitu inafika 99% inagomaMchezo huu hauhitaji hasira
Inagoma kuendelea kwa sababu ya mtandaoHasira Ni Pale Unadownload Kitu inafika 99% inagoma
Mtandao Fulani Huwa Wanakata sana MshikoInagoma kuendelea kwa sababu ya mtandao