Njopino
JF-Expert Member
- Apr 8, 2014
- 3,470
- 5,050
usaliti haufai hasa kwa marafiki muliopendana hasaKula Cha mwenzio bila ruhusa ni usaliti...
usaliti haufai hasa kwa marafiki muliopendana hasaKula Cha mwenzio bila ruhusa ni usaliti...
Haswa wewe rafiki yangu wa dhati tumeshibana..usaliti haufai hasa kwa marafiki muliopendana hasa
Tumeshibana sote tunaochungulia Uzi huu kwa jicho la kipembuziHaswa wewe rafiki yangu wa dhati tumeshibana..
Kipembuzi!!! Huo msamiati? Kiswahili kweli kigumu
Kigumu kweli kifaa kile kilichotengenezwa kwa chumaKipembuzi!!! Huo msamiati? Kiswahili kweli kigumu
Chuma Cha mkole kilimchinda mkoloni mweupe !!Kigumu kweli kifaa kile kilichotengenezwa kwa chuma
Mweupe mweupe hivi mtu mwenyewe ninayemuuliziaChuma Cha mkole kilimchinda mkoloni mweupe !!
Ninayemuulizia ndiye Swahiba wako wa moyoni mtiifu..Mweupe mweupe hivi mtu mwenyewe ninayemuulizia
Mtiifu, mpole, ana heshima, ana adabu, mnyenyekevu yani dah hadi nashindwa kumuelezea Dada huyu kwa jinsi alivyo wa kipekeeNinayemuulizia ndiye Swahiba wako wa moyoni mtiifu..
Kipekee anaonesha mnyongeee huku kaficha kucha za kuparua..Mtiifu, mpole, ana heshima, ana adabu, mnyenyekevu yani dah hadi nashindwa kumuelezea Dada huyu kwa jinsi alivyo wa kipekee
Kuparua alijisogeza taratibu alipo mwajuma aliyekuwa akilalamika huku akiwa ameshikilia yake ndeweKipekee anaonesha mnyongeee huku kaficha kucha za kuparua..
Ndie wewe uliyeanza kubadili lugha hii ndewe?Kuparua alijisogeza taratibu alipo mwajuma aliyekuwa akilalamika huku akiwa ameshikilia yake ndewe
anza na ndewe ndugu.... Neno Hilo msamiati wa kiswahili utafeli mchezoNdie wewe uliyeanza kubadili lugha hii ndewe?
Mchezo gani Sasa wewe waleta msamiati (ndewe) hiyo umeitolea wapi huko madongoporomoko !!anza na ndewe ndugu.... Neno Hilo msamiati wa kiswahili utafeli mchezo
poa bas ngoja nikusaidie... Ndewe maana yake ni ncha ya sikii kwa chini..... Sehem ya kuvalia helen pale..... Kumbe hujui kiswahili weweMchezo gani Sasa wewe waleta msamiati (ndewe) hiyo umeitolea wapi huko madongoporomoko !!
Wewe (ha ha ha) umenichekesha mwanangu..Kwani kiswahili ni lugha ya mamayangu wa kambo !!poa bas ngoja nikusaidie... Ndewe maana yake ni ncha ya sikii kwa chini..... Sehem ya kuvalia helen pale..... Kumbe hujui kiswahili wewe
wa kambo nae ni mamaWewe (ha ha ha) umenichekesha mwanangu..Kwani kiswahili ni lugha ya mamayangu wa kambo !!
Wewe (ha ha ha) umenichekesha mwanangu..Kwani kiswahili ni lugha ya mamayangu wa kambo !!
Mama Mpendwa amenisihi kuwatendea wema majirani..wa kambo nae ni mama
Majirani zetu huchukia kila wakituona tumepiga hatua moja ya mafanikio katika nyumba yetu...Mama Mpendwa amenisihi kuwatendea wema majirani..