mamylove
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 1,052
- 1,702
Kujikimu ni kitu cha msingi katika maishaSana Sana faida zake NI nduchu na hatimae wapata za kujikimu !!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kujikimu ni kitu cha msingi katika maishaSana Sana faida zake NI nduchu na hatimae wapata za kujikimu !!
Maisha ya mtu wa kawaida hupatwa na misukosuko.
Misukosuko ni kitu cha kawaida katika maishaMaisha ya mtu wa kawaida hupatwa na misukosuko.
Maisha yangu yanafurahia Mali na udugu...
Hazina kubwa yenye thamani ya Babu yangu aliifukia ndani ya ghala !!
Hazina kubwa yenye thamani ya Babu yangu aliifukia ndani ya ghala !!
Baadae vitu hivyo ndani ghala huhesabiwa na kuorodheshwa ..Ghala ni sehemu inayotumika kuhifadhi vitu mbalimbali kwa ajili ya matumiz ya baadae
Sent using Jamii Forums mobile app
Baadae bidhaa za kutoka nje zitapigwa marufuku..Ghala ni sehemu inayotumika kuhifadhi vitu mbalimbali kwa ajili ya matumiz ya baadae
Sent using Jamii Forums mobile app
Baadae bidhaa za kutoka nje zitapigwa marufuku..
Mtandaoni Kuna manufaa fulani na Kuna upotofu kadhaa
Kadhaa tunayoipata sisi wakaazi wa uswazi ni uchafu wa mazingiraMtandaoni Kuna manufaa fulani na Kuna upotofu kadhaa
Mazingira yameathirika kutokana na ubovu wa miundombinu
Miundombinu ikiwa mibovu maendeleo yanakua magumu kupatokanaMazingira yameathirika kutokana na ubovu wa miundombinu
Kupatikana kwa muarobaini wake sisi tuwe waaminifu..
Waaminifu ni wale wanaomwogopa Mungu tuKupatikana kwa muarobaini wake sisi tuwe waaminifu..
Tunza utunzwe, uliyosema hakika ni ustaarabuWaaminifu ni wale wanaomwogopa Mungu tu
Asante sana kwa kuwakumbusha kutoa heshima baada ya kula
Kula Cha mwenzio bila ruhusa ni usaliti...Asante sana kwa kuwakumbusha kutoa heshima baada ya kula