mbombongafu1895
Member
- Aug 19, 2018
- 20
- 19
Off on zote huwa ni maandishi yanaonekana kwenya switch
Imelegezwa Kama kipa wa LiverpoolSwitch ya kipa wa Yanga imelegezwa
liverpool wapo dimbani na PSG Leo SAA 4 usiku muda wa afrika mashariki.Imelegezwa Kama kipa wa Liverpool
hapafai kwako, wenzako wanakula...Mashariki mwa Congo hapafai
Haki inadhurumiwa, wanyama wanakuwa na roho za kiungwana.Rushwa ni adui mkubwa wa haki
Haifai hata kupiga pekuPia haifai
peku inaleta rahaHaifai hata kupiga peku
Raha ya MoYO jipe mwenyewepeku inaleta raha
Mwenyewe ninajuaRaha ya MoYO jipe mwenyewe
Ninajua ipo siku bwana yule ataachia madarakaMwenyewe ninajua
Madaraka Nyerere yuko wapi siku hizi?Ninajua ipo siku bwana yule ataachia madaraka
hizi ajari zinazoendelea kutokea chanzo chake ni niniMadaraka Nyerere yuko wapi siku hizi?
Chanzo chake ni miundombinu mibovuhizi ajari zinazoendelea kutokea chanzo chake ni nini
mibovu kwasababu kuna upigaji mwingi kwenye budget iliyotengwa kwa hiyo kazi.Chanzo chake ni miundombinu mibovu
Kazi kubwa iliyobaki ni kupata katiba mpyamibovu kwasababu kuna upigaji mwingi kwenye budget iliyotengwa kwa hiyo kazi.
Mpya inaweza kuja lakini ikabeba maslahi ya tabaka tawalaKazi kubwa iliyobaki ni kupata katiba mpya