The Illicit Mc
JF-Expert Member
- Jan 21, 2018
- 469
- 640
Mashindano mengine hayamuhitaji mshindi,kama Uzi huu
Huu ni mwanzo wa mafanikio kwa wenye kufanya juhudiMashindano mengine hayamuhitaji mshindi,kama Uzi huu
Juhudi na maarifa ni chanzo cha mafanikio ya kweliHuu ni mwanzo wa mafanikio kwa wenye kufanya juhudi
Kweli leo ilikua siku ngumu kwanguJuhudi na maarifa ni chanzo cha mafanikio ya kweli
Kwangu piaa. Jumatatu hii dahKweli leo ilikua siku ngumu kwangu
Dah unajua watu siku hizi hawajitambui maisha magumuKwangu piaa. Jumatatu hii dah
Dahari ni aina gani ya neno?Kwangu piaa. Jumatatu hii dah
Maneno mengine ni magumuDahari ni aina gani ya neno?
Neno litasimama daimaDahari ni aina gani ya neno?
Daima nitawapenda woteNeno litasimama daima
Wote akina nani?Daima nitawapenda wote
Nani mchezaji au?Wote akina nani?
Aunganishe mahusiano baina yetuNani mchezaji au?
Yetu mawazo ni ya ushindi tuAunganishe mahusiano baina yetu
Tutafurahi na kusherehekea kwa pamojaYetu mawazo ni ya ushindi tu
Pamoja mimi na weweTutafurahi na kusherehekea kwa pamoja
Wewe ni miongoni mwa watu ambao hawatashinda huu mtanangePamoja mimi na wewe
Mtanange wangu huuWewe ni miongoni mwa watu ambao hawatashinda huu mtanange
Huu muda niko busy tutaonana baadaeMtanange wangu huu