Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 19,036
- 49,644
Watanzania wengi jana usiku tuligegedanaMwenyewe niko poa hapa, vp mdada
"Sipo kutafuta wachumba, nafanya kazi za Watanzania"
Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania wengi jana usiku tuligegedanaMwenyewe niko poa hapa, vp mdada
"Sipo kutafuta wachumba, nafanya kazi za Watanzania"
ndugu hiyo ni signature yangu
Hahaha sikujua mkuu dah nimeharibu chain. .. Ngoja niendelezee hapo juu sorry wakuu...ndugu hiyo ni signature yangu
"Sipo kutafuta wachumba, nafanya kazi za Watanzania"
Mashindano bado yanaendeleaHahaha sikujua mkuu dah nimeharibu chain. .. Ngoja niendelezee hapo juu sorry wakuu...
...yangu mbona haionekani. Ila sio ishu tuendelee na mashindano
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanaendelea mpaka pale atakapopatikana mshindiMashindano bado yanaendelea
"Sipo kutafuta wachumba, nafanya kazi za Watanzania"
Mshindi ni Mimi wengine mnapoteza muda tu nawaonaYanaendelea mpaka pale atakapopatikana mshindi
Nawaona mnavhoangaika na kupoteza nguvu zenu, mimi ndio mshindi
Mshindi nan kakutangaza acha hizo banaNawaona mnavhoangaika na kupoteza nguvu zenu, mimi ndio mshindi
Hizo bana mi ndio nazipenda ujueMshindi nan kakutangaza acha hizo bana
Tumefanyaje kwani?.....
Yanayoendelea kila mtu hafahamiki.
Yanayoendelea kila mtu hafahamiki.
Wanawafahamu sana ila si ndio unajua tenaHafahamiki na nani?, waliowatuma wanawafahamu
Tena wanalipwa vizuri kwa wanayoyatendaWanawafahamu sana ila si ndio unajua tena
Tena simufahamu kabisaWanawafahamu sana ila si ndio unajua tena
Kabisa mwifwa leo hivi tumesalimiana kweli. Mzima?Tena simufahamu kabisa
wanawafahamu ila wanajifanya kutowafahamuHafahamiki na nani?, waliowatuma wanawafahamu
Kutowafahamu wana jf ni changamoto kubwa sanawanawafahamu ila wanajifanya kutowafahamu