Jogoo wa Shamba II
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 3,371
- 6,505
Uirudishe kwanini labdaNaitoa na sitaki uirudishe
Uirudishe kwanini labdaNaitoa na sitaki uirudishe
Labda amerudi jaribu kuwasiliana nayeUirudishe kwanini labda
Naye someone maana ametorokaLabda amerudi jaribu kuwasiliana naye
Ametoroka tangu lini?Naye someone maana ametoroka
Lini kwani huna taarifa zake linamo?Ametoroka tangu lini?
Linamo ndiye yupi?Lini kwani huna taarifa zake linamo?
Yupi? Ni binti flani mremboLinamo ndiye yupi?
Mrembo kumshinda nanihii?Yupi? Ni binti flani mrembo
Naniii amfikiii hata roho kwa jinsi alivyo mremboMrembo kumshinda nanihii?
Mrembo ni emmytahNaniii amfikiii hata roho kwa jinsi alivyo mrembo
emmyta kumbe ndiye mrembo!Mrembo ni emmytah
Mrembo sana kama Cleopatraemmyta kumbe ndiye mrembo!
Cleopatra aliyeimbwa na wanamuziki, mwambie ajitokeza basi!Mrembo sana kama Cleopatra
Basi itabaki siri kati yangu na yeyeCleopatra aliyeimbwa na wanamuziki, mwambie ajitokeza basi!
Yeye yuko wapi?Basi itabaki siri kati yangu na yeye
Wapi unataka niwepo bbc. Nipo hapa na Linamo tunalijenga Taifa.Yeye yuko wapi?
Taifa la Tanzania tumebahatika kuwa na vivutio vingiWapi unataka niwepo bbc. Nipo hapa na Linamo tunalijenga Taifa.
Vingi kweli, hata warembo ni vivutio pia. emmyta unatakiwa uwepo walipo waliokusifia.Taifa la Tanzania tumebahatika kuwa na vivutio vingi
Waliokusifia muhenga bbc wako wapi na mimi niungane nao.Vingi kweli, hata warembo ni vivutio pia. emmyta unatakiwa uwepo walipo waliokusifia.
Nao hawakukosea maana hata avator yake inaonyesha ni mhengaWaliokusifia muhenga bbc wako wapi na mimi niungane nao.