hoperising
Member
- May 28, 2017
- 20
- 34
Wamekwenda mpka mlango wa ikulu ila ndani awajawai panusa labda tusubirii 2020Wachagga lakini hata shule wamekwenda
Wamekwenda mpka mlango wa ikulu ila ndani awajawai panusa labda tusubirii 2020Wachagga lakini hata shule wamekwenda
Kuoa ni jambo jema2020 ndio mwaka ninaotarajia kuoa
Sote natumaini tumeamka salama kwa tuliokuwa ukanda huu, wengine wa mbali ndio usiku unaingia, niwatakie usiku mwema
Mwema sana japo wakati mwingine ana matatizo yakeSote natumaini tumeamka salama kwa tuliokuwa ukanda huu, wengine wa mbali ndio usiku unaingia, niwatakie usiku mwema
Mwema sana japo wakati mwingine ana matatizo yake
Binafsi? HapanaMatatizo yake ya kujitakia au uvivu wake binafsi?
Kabisa kabisa?, basi hongera zako kwa kumuwezeshaMatatizo? Kwa sasa hana kabisa
Kumuwezesha ni lazima. Nawasilimia humu wazima?Kabisa kabisa?, basi hongera zako kwa kumuwezesha
Kumuwezesha ni lazima. Nawasilimia humu wazima?
Poa? Anaumwa sema sahizi ana nafuuWazima sana, nawajibia na wenzangu, wewe uko poa?
Nafuu kwa kila kitu ndio kila mtu anakiombea, Mungu atamjaalia na atapona kabisaPoa? Anaumwa sema sahizi ana nafuu
Kabisa japo alienda atarudi keshoNafuu kwa kila kitu ndio kila mtu anakiombea, Mungu atamjaalia na atapona kabisa
Kabisa japo alienda atarudi kesho
Aende? Hakuna hiyo ruhusaKesho huwa haifiki mkuu, kwa nini ulimwachia aende?
Aende? Hakuna hiyo ruhusa
Ruhusa ipo mimi mwalimu mkuu naitoaAende? Hakuna hiyo ruhusa
Naitoa na sitaki uirudisheRuhusa ipo mimi mwalimu mkuu naitoa