Hamisi mzalendo
Senior Member
- Jun 15, 2017
- 108
- 124
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Udikteta fulani ila haujafikia ule wenyewe.
Kupotezwa inawezekana pia japokuwa zipo njia nyingi za kufanya liendelee kubakia.Wenyewe udikteta halisi vyama vya upinzani vyote vitafutwa Emmy hata Bunge linaweza kupotezwa.
Kupotezwa inawezekana pia japokuwa zipo njia nyingi za kufanya liendelee kubakia.
Watanzania tumebarikiwa usahaulifu mbali na haya yote tunayofanyiwa ila mwisho wa siku tunarudia yale yale ya siku zote.Kubakia kama Bunge bubu ambalo halikemei maovu yoyote ya Serikali lenyewe ni kukaa kimya tu kusubiri mishahara na marupurupu yao huku likiwa halina faida yoyote kwa Watanzania.
Zote hizo ni neema tulizojaaliwa nazo katika Nchi hii!Watanzania tumebarikiwa usahaulifu mbali na haya yote tunayofanyiwa ila mwisho wa siku tunarudia yale yale ya siku zote.
Hii thread haina mwishoZote hizo ni neema tulizojaaliwa nazo katika Nchi hii!
Mshindi kupatikana sio rahisi
Mlevi wa madaraka ni mbaya kuliko mlevi wa pombe za kienyejiRahisi kama kumsukuma mlevi
Kienyeji enyeji hivi hivi watu hufanikiwaMlevi wa madaraka ni mbaya kuliko mlevi wa pombe za kienyeji
Fisi ni mnyama nisiempenda kabisaHufanikiwa kwa kujituma sio kwa kunywa mataputapu ya uwanja wa fisi
Freemason wengi ni matajiri wakubwa.
Matajiri wakubwa wanatoka kanda ya kaskazini kwa wachaggaFreemason ni chama kizuri sana, anayetaka kujiunga anitafute PM
Freemason wengi ni matajiri wakubwa.
Wachagga lakini hata shule wamekwendaMatajiri wakubwa wanatoka kanda ya kaskazini kwa wachagga