Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 48,271
- 115,189
Hayanunuliki sawa basi hata ndizi ya mia mbili.Matunda bei ghali hayanunuliki
Hayanunuliki sawa basi hata ndizi ya mia mbili.Matunda bei ghali hayanunuliki
Mia mbili ndizi iyo utakula peke yako watt jee ?Hayanunuliki sawa basi hata ndizi ya mia mbili.
Jee ukinunua za 1000 watoto nao si watapata.Mia mbili ndizi iyo utakula peke yako watt jee ?
watapata nini kwa maisha hayaJee ukinunua za 1000 watoto nao si watapata.
Haya! Jieleze ulikuwa wapi siku zote?
zote ngapi kwani ila kifupi ni matatizo dada yangu si unajua changamoto za maisha na mambo yakeHaya! Jieleze ulikuwa wapi siku zote?
Mambo yake makubwa ukiyafuatilia. Ila pole mdogo wanguzote ngapi kwani ila kifupi ni matatizo dada yangu si unajua changamoto za maisha na mambo yake
Sent using Jamii Forums mobile app
wangu ahsante sana hadi kufikia hapa nashukuru mungu sana kwani sijui ingekuaje mzima lakiniMambo yake makubwa ukiyafuatilia. Ila pole mdogo wangu
Lakini usimwage mtama hapa, hebu twende hukuwangu ahsante sana hadi kufikia hapa nashukuru mungu sana kwani sijui ingekuaje mzima lakini
Sent using Jamii Forums mobile app
huku nishakuja mbonaLakini usimwage mtama hapa, hebu twende huku
Mbona kila nikiamka nahisi mwili bado hautaki kuniunga mkono
Mkono wako uwe unajua kutoa kuliko Kupokea hapo ndipo utabarikiwa Zaidi..!!Mbona kila nikiamka nahisi mwili bado hautaki kuniunga mkono
Zaidi, Mungu humbariki yule mnyenyekevu, anayetoa bila manung'uniko.Mkono wako uwe unajua kutoa kuliko Kupokea hapo ndipo utabarikiwa Zaidi..!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Manung'uniko siku zote hayasaidii ni afadhali ukapaza sauti ukasikikaZaidi, Mungu humbariki yule mnyenyekevu, anayetoa bila manung'uniko.
Ukasikika bila kusikiwa huwa hakuna nafuu zaidi ya kuyazidishaManung'uniko siku zote hayasaidii ni afadhali ukapaza sauti ukasikika
Kuyazidisha matatizo nchini ni kufunga migodiUkasikika bila kusikiwa huwa hakuna nafuu zaidi ya kuyazidisha
Migodi ipi hiyo mdogo wanguKuyazidisha matatizo nchini ni kufunga migodi
Wangu ushauri ni heri wakae na hao wamiliki, waongee kwa uturi.Migodi ipi hiyo mdogo wangu
Uturi wa kizanzibari ama. Nakusalimia God Heals mzima?.Wangu ushauri ni heri wakae na hao wamiliki, waongee kwa uturi.
Wangu, moyo sukuma damu si vingineMigodi ipi hiyo mdogo wangu