Eng Godfrey lupimo
Senior Member
- Sep 3, 2016
- 148
- 76
Haiambiliki kisaikolojia kwa watu kuhama karibu na hifadhi ya reli wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe sasa ndiyo umeandika swali au sentensiHaiambiliki kisaikolojia kwa watu kuhama karibu na hifadhi ya reli wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Sentensi yake imekuchanganyaWewe sasa ndiyo umeandika swali au sentensi
Ujinyonge utupunguzie foleni
Foleni za magari zitaisha lini Dar?Ujinyonge utupunguzie foleni
Dar kwa bashiteFoleni za magari zitaisha lini Dar?
Bashite kumbe unamjua?Dar kwa bashite
Unamjua kwani na wewe. Mi namjua.Bashite kumbe unamjua?
NamjuaUnamjua kwani na wewe. Mi namjua.
Namjua sana.Namjua
Sana me nilimjua alipokuwa anadaiwa vyeti, cjui alitoa naona watu tushasahau tunafanya umbea kwa mengineNamjua sana.
Kwa mengine hujajibu msg yangu whatsapp kwa nini sasa na weye?....Sana me nilimjua alipokuwa anadaiwa vyeti, cjui alitoa naona watu tushasahau tunafanya umbea kwa mengine
Na weye nawe ! nlikua maliwatoniKwa mengine hujajibu msg yangu whatsapp kwa nini sasa na weye?....
Maliwatoni muda wote ule. Haya bana.Na weye nawe ! nlikua maliwatoni
Bana nanihii ili usiende maliwatoniMaliwatoni muda wote ule. Haya bana.
Maliwatoni nisiende? Basi sawaBana nanihii ili usiende maliwatoni
Maliwatoni lazma kuenda, km huendi una matatizo ya kiafyaBana nanihii ili usiende maliwatoni
Kiafya ni nzuri kula matundaMaliwatoni lazma kuenda, km huendi una matatizo ya kiafya
Matunda bei ghali hayanunulikiKiafya ni nzuri kula matunda