God Heals
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 716
- 1,356
Kwangu ni kawaida kunywa supu ya makongolo ya mbwaKwako hakuna watoto wazuri kama kama kwangu
Kwangu ni kawaida kunywa supu ya makongolo ya mbwaKwako hakuna watoto wazuri kama kama kwangu
Makongolo ya mbwa ni mazuri kwa kuongeza nguvu za kikeKwangu ni kawaida kunywa supu ya makongolo ya mbwa
Nguvu za kike! Hahahaha, sijuagi hizo arifu wanguMakongolo ya mbwa ni mazuri kwa kuongeza nguvu za kike
Arifu wangu zipo au waje wenyewe wakuhakikishieNguvu za kike! Hahahaha, sijuagi hizo arifu wangu
".......au waje wenyewe wakuhakikishie," aliuliza kelvin marcus.Arifu wangu zipo au waje wenyewe wakuhakikishie
Mwenyewe fanya uchunguzi ukipata jibu utanijulisha".......au waje wenyewe wakuhakikishie," aliuliza kelvin marcus.
Mmoja wao akajibu hapana. Atafanya kauchunguzi yeye mwenyewe.
Utanijulisha hata nawe pia kama kuna uwezekano pia wa kuongeza nguvu za kiume, maana hii itakuwa fursa ya kibiashara.Mwenyewe fanya uchunguzi ukipata jibu utanijulisha
Itakuwa fursa ya kibiashara kama ukiwashawishi vizuriUtanijulisha hata nawe pia kama kuna uwezekano pia wa kuongeza nguvu za kiume, maana hii itakuwa fursa ya kibiashara.
Vizuri vyote nipeni mimiItakuwa fursa ya kibiashara kama ukiwashawishi vizuri
Na wauwaji wanajulikana ila wanaogopwaWapi tunaelekea kibiti mauaji kila siku tumechoka
Mimi nina vizuri vingi njoo uchukueVizuri vyote nipeni mimi
Njoo uchukue kiasi unachoweza kubeba, vitakavyobakia waachie wengine.Mimi nina vizuri vingi njoo uchukue
Uchukue taarifa za kazi ya utafitiMimi nina vizuri vingi njoo uchukue
Utafiti unaonyesha asilimia kubwa ya wanaume wa Dar wana upungufu wa nguvu za kiumeUchukue taarifa za kazi ya utafiti
Kiume kikikosa nguvu hakuna dawa ya kutibuUtafiti unaonyesha asilimia kubwa ya wanaume wa Dar wana upungufu wa nguvu za kiume
Upungufu wa nguvu za kiume ni wakujitakia mwenyeweUtafiti unaonyesha asilimia kubwa ya wanaume wa Dar wana upungufu wa nguvu za kiume
Mayai ya kware yalikuja juu kwa biashara yake sijui imeishia wapi!Mwenyewe unapenda kula chips mayai
Wapi sehemu ya kutupa takatakaMayai ya kware yalikuja juu kwa biashara yake sijui imeishia wapi!
Takataka zinatupwa jalalaniWapi sehemu ya kutupa takataka