James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,112
- 13,340
Barabara ya Sam Nujoma imejengwa vizuriInaendelea vizuri sana, hapa ilipofikia ni patamu barabara
Barabara ya Sam Nujoma imejengwa vizuriInaendelea vizuri sana, hapa ilipofikia ni patamu barabara
Vizuri kuwa mwaminifu na mkweli wakati wote katika maisha yakoBarabara ya Sam Nujoma imejengwa vizuri
Yako ni kufuata mwongozo wa Imani hivyo mwezi wa mfungo Ramadhani umewadia.....Vizuri kuwa mwaminifu na mkweli wakati wote katika maisha yako
Umewadia na nimeupokea kwa furaha kubwa, sasa hivi tayari nimeshakula daku kama ilivyo ada katika huu mweziYako ni kufuata mwongozo wa Imani hivyo mwezi wa mfungo Ramadhani umewadia.....
Mwezi wa mfungo, mwezi wa kusoma Qur'an.., mwezi wa upendo.., na mwezi wa kusubiria, namwezi wa swadaqa !!Umewadia na nimeupokea kwa furaha kubwa, sasa hivi tayari nimeshakula daku kama ilivyo ada katika huu mwezi
Swadaqa ni muhimu sana,Mwezi wa mfungo, mwezi wa kusoma Qur'an.., mwezi wa upendo.., na mwezi wa kusubiria, namwezi wa swadaqa !!
Wenu katika ujenzi wa uzi huu.Swadaqa ni muhimu sana,
Wenye uwezo futurisheni hasa makundi ya wasiojiweza kama mayatima, masikini ili muweze kujichumia swawabu nyingi kwa Mola wenu.
Huu mwezi mtukufu jamani dhambi kando kidogoWenu katika ujenzi wa uzi huu.
Kidogo kidogo tutafikaHuu mwezi mtukufu jamani dhambi kando kidogo
Tutafika lini wakati ukawa wanafikiKidogo kidogo tutafika
Wanafiki wapo Lumumba, sakata la ripoti ya mchanga ndio ushahidi toshaTutafika lini wakati ukawa wanafiki
ushahidi tosha kabisa kumfunga. Humu ndani hamjambo?Wanafiki wapo Lumumba, sakata la ripoti ya mchanga ndio ushahidi tosha
Hamjambo humu nakuona zamiluni zamiluni na boxer yako hapoushahidi tosha kabisa kumfunga. Humu ndani hamjambo?
Hapo nilipo nisha vaa dishdasha na baraghashia kichwani naelekea masjid nikatoe hotuba,,,,Hamjambo humu nakuona zamiluni zamiluni na boxer yako hapo
Hotuba za Kishki huwa napenda kuzisikilizaHapo nilipo nisha vaa dishdasha na baraghashia kichwani naelekea masjid nikatoe hotuba,,,,
Kuzisikiliza hotuba zake hata na mimi napenda mana zina mafundisho mengi.Hotuba za Kishki huwa napenda kuzisikiliza
Mengi mafundisho ya miezi ya toba huturejesha kwa Muumba wetu kwa kutusihi tuishi kwa upendo kati yetu, nao ndio TUNDA bora la roho.Kuzisikiliza hotuba zake hata na mimi napenda mana zina mafundisho mengi.
Mengi mafundisho ya miezi ya toba huturejesha kwa Muumba wetu kwa kutusihi tuishi kwa upendo kati yetu, nao ndio TUNDA bora la roho.
Ajabu ni kuwa, watenda mema kwa kiasi kikubwa huwa hawaishi kwa mda mrefu.Roho ikiwa nzuri inapendeza mana inakuwa vigumu kutenda vitendo vya ajabu.
Mrefu lakini kashindwa kufikia kwenye paa ili akwapue pesa iliyochukuliwa na panyaAjabu ni kuwa, watenda mema kwa kiasi kikubwa huwa hawaishi kwa mda mrefu.