Wa mwisho ndiyo mshindi

Mafanikio kuyapata sio poa yahitaji juhudi we jamaa ulitekwa wapi mkuu
Mkuuuuuuuu dah aisehhhhh kwanza nimecheka dah nimekumiss sana teh teh teh kuna watu ni siku nyingi sijawasikia ukiwemo wewe mzeya wa totoz, mdogo wangu vipi dada yako sakayo nae kitambo sana, hivi yupo?
 
Back
Top Bottom