Heshima ya kweli Baba nyumbani ni Chakula Mezani.Pesa siku hizi huleta Heshima.
Mezani tukijadiliana kwa Amani,tutapa lengo Kamili la Mleta Uzi.Heshima ya kweli Baba nyumbani ni Chakula Mezani.
Uzi huu naukimbiza mwenyewe kwa kasi bila ya kupata Mfuasi.Mezani tukijadiliana kwa Amani,tutapa lengo Kamili la Mleta Uzi.
Mfuasi katika nyakati za neema tu hanifai hata kidogo.Uzi huu naukimbiza mwenyewe kwa kasi bila ya kupata Mfuasi.
Kidogo ukikipata shukuru, kumbuka wengine hata hicho kidogo wamekosaMfuasi katika nyakati za neema tu hanifai hata kidogo.
Wamekosa kwa sababu ya Uzembe wao.Kidogo ukikipata shukuru, kumbuka wengine hata hicho kidogo wamekosa
wao wanadai hali ngumu Mkuu kabana kila konaWamekosa kwa sababu ya Uzembe wao.
Hakuna matata, nchi yetu nzuri karibuni...Kila Kona hali ni tete kazi hakuna
Karibuni mtoe mchango wenu wa mawazo katika Jamii.Hakuna matata, nchi yetu nzuri karibuni...
Kuheshimiwa siyo diliJamii iliyotuzunguka inapaswa kuheshimiwa
Dili ni kupiga helaKuheshimiwa siyo dili
Hela za bandia zakamatwa mpakani !!Dili ni kupiga hela
Mpakani patatobolekishwaHela za bandia zakamatwa mpakani !!
Duuh !! kweli yaho..?Mpakani patatobolekishwa
Patatobolekishwa mhmhhhh acha ubashite, lugha gani hiiMpakani patatobolekishwa
hii ni wazo lake binafsi.....Patatobolekishwa mhmhhhh acha ubashite, lugha gani hii
Binafsi sipendi lugha za ajabu ajabu!hii ni wazo lake binafsi.....