Boxa ntalala nayo vp mkuu yani pikipiki ya boxa nilale nayo kitandani?Kabisa mwanaume mzima unala bila boxa ??
IPP ni kampuni kubwa sana hapa TanzaniaMengi huyu wa IPP
Nayo subira si ya kuitumaini sana maana mvumbika mbivu hula mbovu.Subra jambo lakheri kiumbe ukiwa nayo
Ninaowapumulia puto na tyubu za kuogelea ....Unaowapumulia au ninaowapumulia
Kuogelea kwenye swimming pool sijawahi lkn baharini nayakata vibayaNinaowapumulia puto na tyubu za kuogelea ....
vibaya kumsema mwenzioKuogelea kwenye swimming pool sijawahi lkn baharini nayakata vibaya
Maji ya kuoga woteMwenzio akinyolewa nawe Tia maji
Wote warukao si wadudu, wengine wanyamaMaji ya kuoga wote
Wanyama sio mbugani tu, siku hizi tunao mpaka stage. Diamond anajiita simba sijui nani nae anajiita mamba.Wote warukao si wadudu, wengine wanyama
tulivu kama maji ya mtungi, habarini ya leo waungwanaShujaa wa njaa hajawahi tokea. Habarini za usiku humu ndani, naamini wote mko salama.
Muwe na usiku tulivu