Ngushi
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 9,066
- 18,348
ukame haupo ndio maana nchi inachakula cha kutoshaJina linalo nasibu njaa hii ni ukame....
ukame haupo ndio maana nchi inachakula cha kutoshaJina linalo nasibu njaa hii ni ukame....
Wote waliopungukiwa chakula mzee Lowasa ameahidi kuwapaKutosha kwa wananchi wote
Jamani ya nini bob , hapa njaa tu mpaka mbwa ale majani .Hewa nayo naona imepungua sijui mheshimiwa kaamua abane matumizi na upande huo jamani!!!
Majani yashaanza kulika huku kwetu Ras wote wameanza kula nyama njaa sio kitu kizuriJamani ya nini bob , hapa njaa tu mpaka mbwa ale majani .
Kizuri kula na mwenzio pacha,Majani yashaanza kulika huku kwetu Ras wote wameanza kula nyama njaa sio kitu kizuri
Kuwapa chakula mzee lowasa? Maandiko yanasema alaaniwe yule mtu anaye mtegemea mwanadamuWote waliopungukiwa chakula mzee Lowasa ameahidi kuwapa
Ukame ni kila mahala zzJina linalo nasibu njaa hii ni ukame....
Pacha kweli kizuri kinaliwa na wenza km mm na wewe pachaKizuri kula na mwenzio pacha,
Pacha gani unawaongeleaPacha kweli kizuri kinaliwa na wenza km mm na wewe pacha
ZZ sijamsikia muda ukame umemkumba au anavuna vumbiUkame ni kila mahala zz
Vumbi kuvunwa ndio nasikia leo tangu niijue duniaZZ sijamsikia muda ukame umemkumba au anavuna vumbi
Dunia hadaa walimwengu shujaaVumbi kuvunwa ndio nasikia leo tangu niijue dunia
Shujaa wa njaa hajawahi tokea. Habarini za usiku humu ndani, naamini wote mko salama.Dunia hadaa walimwengu shujaa
Tulivu haiwezi kuwa coz joto kali mpk najikuta navua na boxa tu kabisaShujaa wa njaa hajawahi tokea. Habarini za usiku humu ndani, naamini wote mko salama.
Muwe na usiku tulivu
Dunia ina mengiVumbi kuvunwa ndio nasikia leo tangu niijue dunia
Kabisa mwanaume mzima unala bila boxa ??Tulivu haiwezi kuwa coz joto kali mpk najikuta navua na boxa tu kabisa