halafu mambo ya heater kuchemsha maji watu tulikuwa tunachemsha juu ya dari na kisadolini!heater yenyewe imechakaa imebaki waya tu!dah!ilikuwa balaa
Tilly heater tulikuwa tunaita mtambo, ole wako baba kadoda second master akukute. Ila lumumba kuna watu walipinda heater coil za kitanda cha banko mahindi yanachemshwa dalini kwenye ndoo