Wa kusifiwa kila siku ni mungu mmoja tu angalia hii picha...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wa kusifiwa kila siku ni mungu mmoja tu angalia hii picha......

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Oct 20, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  MWENYEEZI MUNGU AWABARIKI AMEEN.................................
   
 2. NdasheneMbandu

  NdasheneMbandu JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 940
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Bonge ya goli tena la kisigino.
   
 3. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mkuu MzizimkavuHao watoto kweli au wanasesere au wa kuasili? Natamani ningepata goli kama hilo nikazaa mara moja na kusahau.
   
 4. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Acheni MUNGU aitwe MUNGU
   
 5. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Mkuu Father of All unauliza jibu wakati umesha waona hao ni watoto jamaa Mwenyeezi mungu amempa zawadi kubwa katka maisha yake. Mungu ambariki.........
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,491
  Likes Received: 4,764
  Trophy Points: 280
  .................wANATIMIZA MAANDIKO....ZAENI MKAONGEZEKE MKAIJAZE DUNIA NA KUITAMALAKI
   
 7. g

  geophysics JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  huwezi amini..tena wote wanakua na wako salama...nchi za wenzetu watoto hawafi ovyo kama bongo
   
Loading...