Wa Kenya nisaidieni katika hili lakutuma pesa Tanzania kutoka Safaricom Kenya

Source07

Senior Member
Oct 5, 2018
196
500
Assalam

Kama kichwa Cha habari kinavyosema nahitaji msaada wenu kwenye kuweza kutuma pesa kupitia Mpesa Safaricom kwenda Mpesa Vodacom Tanzania maana kwenye menu hiyo service haipo hivyo kumfanya sender(yupo Arabuni lakin anatumia Safaricom)kushindwa kukamilisha transaction hivyo msaada wenu huamnafanyaje ili hili liwezekane..!

Ahsante
 
Timo25

JF-Expert Member
Sep 23, 2020
275
500
Assalam
Kama kichwa Cha habari kinavyosema nahitaji msaada wenu kwenye kuweza kutuma pesa kupitia Mpesa Safaricom kwenda Mpesa Vodacom Tz maana kwenye menu hiyo service haipo hivyo kumfanya sender(yupo Arabuni lakin anatumia Safaricom)kushindwa kukamilisha transaction hivyo msaada wenu huamnafanyaje ili hili liwezekane..!
Ahsante
 1. Go to M-PESA and select Lipa Na M-PESA.
 2. Select Pay Bill and enter business number 255255.
 3. Under account number, enter the Tanzania recipient's mobile number in the format 2557XXXXXXXX.
 4. Enter amount you wish to send in Ksh.
 5. Enter your M-PESA PIN and confirm the transaction.
 
pingli-nywee

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
11,470
2,000
 1. Go to M-PESA and select Lipa Na M-PESA.
 2. Select Pay Bill and enter business number 255255.
 3. Under account number, enter the Tanzania recipient's mobile number in the format 2557XXXXXXXX.
 4. Enter amount you wish to send in Ksh.
 5. Enter your M-PESA PIN and confirm the transaction.
3. *+2557XXXXXXXX
 
Bipolar

Member
Apr 29, 2016
42
125
 1. Go to M-PESA and select Lipa Na M-PESA.
 2. Select Pay Bill and enter business number 255255.
 3. Under account number, enter the Tanzania recipient's mobile number in the format 2557XXXXXXXX.
 4. Enter amount you wish to send in Ksh.
 5. Enter your M-PESA PIN and confirm the transaction.
Correct!!!
 
MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
22,201
2,000
 1. Go to M-PESA and select Lipa Na M-PESA.
 2. Select Pay Bill and enter business number 255255.
 3. Under account number, enter the Tanzania recipient's mobile number in the format 2557XXXXXXXX.
 4. Enter amount you wish to send in Ksh.
 5. Enter your M-PESA PIN and confirm the transaction.

Ndio yenyewe hii, nimeitumia sana na haijawahi kunipa tabu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom