Wa dada jamani Hivi vitu vinatokea network ina simama!!

Naona wewe unahitaji kanselingi kwa nini tusikutane mahali nikakukanseli??unaweza kuwa jasiri zaidi ya hapo!
 
kushoto kwa huyo dada anaonekana MALARIA SUGU akifadhaika
 
uta Hivi vitu vikitoke mimi huwa netwrk isimama kwanza!!

Kaka Kiiza Mambo gani sasa hayo? agh! yaani FULL KUMBINULIA denti mwenzie! Ona sasa kampotezea manetiweki, jamaa hajui hata kwamba kitabu chake kiko chini
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom