FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,009
- 40,680
- Thread starter
- #301
UNFPA
Resources ni factor moja wapo kubwa katika jituhada zao hizoSababu inaweza isiwe idadi ya waafrika, bali resources wanazokalia... Africa has everything mkuu!!
Lakini resource kubwa ni waafrica wenyewe, sio dhahabu wala nn, dhahabu wameipa thamani wenyewe, kwa hiyo msikariri kua dhahabu na vingine ndo resource. Ila muafrika ni resource kubwa genetically tulivoumbwa, tunaubunifu na uwezo wa kufanya mengi, na wazungu wanataka watu control kwenye mambo yao. Tusingekua ni reaource wala wasingehangaika na ss. Maana kama ni ardhi wanayo, kama ni hali ya hewa nzuri, ulaya kuna hali ya hewa nzuri kuliko huku, kama ni maziwa, bahari na mito, vyote wanavyoResources ni factor moja wapo kubwa katika jituhada zao hizo