Vyura Wanaozaa Watoto Wazima; umuhimu huu ni wa pekee! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vyura Wanaozaa Watoto Wazima; umuhimu huu ni wa pekee!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by E=mcsquared, Aug 18, 2010.

 1. E=mcsquared

  E=mcsquared JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 221
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Jamani wana JF, possibly mimi nimekuwa aidha ignorant sana au pessimistic mno. Kuna hawa vyura wanaozaa watoto wazima, walipelekwa Marekani mwaka 1999 kwa gharama za serikali, na awamu yao ya kwanza imerejeshwa hapa nyumbani juzi. Kwa wanaopenda kunusa nusa kwenye taarifa mbalimbali watakubaliana kabisa na mimi kuwa tangu wamewasili, vyura hawa wamepewa umuhimu ambao ni wa kipekee kabisa. Mbali na hivyo vyura hawa bado wanatuhitaji tuendelee kuwagharimia (waliokuja na waliobaki marekani); at the same time kuna sehemu nyingi tu katika Tanzania yetu hii ambako watu hawana chakula wanakufa kwa njaa kabisa. Maswali yangu ya msingi ni mawili au matatu hivi:

  je;

  1) Yupi ni mhimu zaidi,
  binadamu anayezaa watoto wazima (na ambaye anakufa kwa njaa) au chura anayezaa watoto wazima?

  2)Hawan vyura assuming pengine wangepotea wasiweze kuwepo kabisa teana (extinct), kuna madhara gani hasa makubwa mno ya kimazingira ambayo yangeweza kumkumba mwanadamu, kiasi kwamba imekuja kuonekana bora vyura hawa wagharimiwe pesa kwa kipindi chote hicho wakati kuna baadhi ya binadamu wanakufa kwa kukosa huduma ya chakula, matibabu, n.k.

  3) Dunia hii tunayoishi, inakadiriwa kuwa na umri usioupungua miaka billion 4.2. Ni viumbe wengi sana (species-possibly to the order of millions) ambao nahisi wamesha-undergo extinction tangu kuwepo kwa dunia tunayoiona leo hii. Je kwa nini maisha bado yanaendelea kum-favour mwanadamu kuendelea kuishi hapa duniani licha ya kuwa species wengi tu wameshapotea hawapo tena?

  Ukweli ni kuwa hawa vyura wamenipa picha moja kuwa kwetu sisi inaonyesha " VYURA WANAOZAA WATOTO WAZIMA WANA UMUHIMU MKUBWA ZAIDI KULIKO BINADAMU ANAYEZAA WATOTO WAZIMA"

  Tukishindwa ku-balance vizuri hoja zetu kati ya binadamu na mazingira, tutajikuta tunaona ni bora zaidi chura mmoja aishi, binadamu wawili wafe au hata zaidi. Ni katkia kuboresha au kutunza mazingira. Kuna siku niliwahi kupata shock ya kiafya sababu nilienda bank nikaa kwenye foleni nje, na pale kulikuwa na maua yaliyokuwa yametunzwa sana, na kipindi hicho yalikuwa yamewekewa mbolea ya samadi (nguruwe or somethng), iliyokuwa inatoa harufu kali hujapata kusikia. Watu tulikaa kwenye foleni pua tumezishika mda wote. Ni mojawapo ya mazingira ambayo mmea au mnyama anapewa prioty kuliko mwanadamu. Otherwise someone was supposed to human healthy risk considerate before applying such manures to flowers.

  4.) Wataalamu wahusika wa mazingira; kabla hayajaharibiwa to the extent ya kuwa unfavourable kwa hawa vyura kuendelea kukaa pale Kihansi, je ni kweli hawakujua hili, au issue ilikuwa ni kutafuta namna ya kuweza kupata hoja nadhifu itakayowafanya wao kuwapeleka hao vyura Marekani?

  5.) Kwa nini tunakuwa na tatizo la kushindwa ku-priotize vitu? Ni kweli hatuna huo uwezo au ni huwa tunafanya makusudi ili ku-create loop holes za kuombeaq excuses huko mbele pindi mambo yanapokwenda mrama?
   
 2. Makanyaga

  Makanyaga JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2010
  Joined: Sep 28, 2007
  Messages: 2,503
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Dear JF members!
  Your input please; even if it is very negative against the author!
   
 3. Makanyaga

  Makanyaga JF-Expert Member

  #3
  Aug 19, 2010
  Joined: Sep 28, 2007
  Messages: 2,503
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  jamani vyura hao wasomeni
   
 4. R

  Ramos JF-Expert Member

  #4
  Aug 19, 2010
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli mi niliona taarifa walipokuwa wanaingizwa nchini na msafara wa wanasayansi, na kukadiria mamilioni yaliyotumika,... nikajisikia tumbo kuuma. Anyway, ni mradi wa watu, wanapublish papers, wanapandishwa vyeo huko makazini kwao (wale walioko vyuoni), na wanapata hela. That is Tanzania...
   
 5. Makanyaga

  Makanyaga JF-Expert Member

  #5
  Aug 19, 2010
  Joined: Sep 28, 2007
  Messages: 2,503
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Issue hapa ni ulaji wala siyo mazingira kwa kweli. Hii thread ndugu yangu watu wanasoma halafu wanaingia mtini!
   
Loading...