Nguo za ndani unafua saa ngapi?

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,268
Kuna wanaofuliwa na wapenzi wao, wake zao, waume zao (wa kwangu atafua ni kiwa mgonjwa labda). Unafua ukitoka kuoga, Jumamosi unafua na nguo zote chafu?

Mimi nimeweka kibeseni bafuni, zile nyeupe huwa ninaloweka na omo. Ninaanikia hukohuko bafuni nimenunua ile rail ya kuanikia nguo ni special kwa vyupi.

-------------------------------
Baadhi ya Michango

Jumamosi nafua na kuanika nje
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom