DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,563
- 5,955
Wale cjui udom mara st Augustne hv hawapo coz wanadai vyuo hivyo ni nondo sana. TUPE UKWEL MKUU SIAMIN KM HAWAPO HATA TOP TEN KWA WANAVYOIPONDA UDSM
Karibu ranks zote za kimataifa mara nyingi ni hivyo vyuo viwili nilivyotaja hapo ndo huonekana kwa hapa TZWale cjui udom mara st Augustne hv hawapo coz wanadai vyuo hivyo ni nondo sana. TUPE UKWEL MKUU SIAMIN KM HAWAPO HATA TOP TEN KWA WANAVYOIPONDA UDSM
Jibu swali vipo vingapi?...unaona utofautiUmeshaona nafasi ambazo vyuo vya kenya na Uganda vipo?
Unaweza kusoma na kuandika kweli wewe...em soma tena ulichoandikaKwenye takwimu za URAP kila nchi imetoa kimoja.
takwimu za THE, Tanzania hakuna kenya na uganda kimoja kimoja kwa kila nchi.
Selikari inachukua hatua na watu hawaelewi wamebaki na ushabiki tu. Ndalichako anacharuka watu wanalalamika. Pyuuu!Tunazidi kudidimia kwenye kila sekta kasoro umbea na majungu
ELIMU..., ELIMU...., ELIMUElimu Elimu Elimu
Hapana kwa kweli llazima tujiangalie hiwezekani Makerere wawe na uwezo wa kutengeneza gari inayotumia umeme wa jua project ambayo imewapaisha sana halafu sisi turidhike yaaani.
1. UmbeaTunazidi kudidimia kwenye kila sekta kasoro umbea na majungu
Tuangalie taarifa kama hizi zinatolewa na nani na kwa sababu gani. Viko vyuo kila leo migomo na product zao tunafanya nazo kazi. Hamna chochote. Tanzania wahitimu wake wanang'ara dunia nzima.
Naona humu watu ambao hata shule zao zinatia shaka wanacomment kuhusu elimu ya chuo kikuu.
Sisi tunaotembelea vyuo vya ndani na nje tunajua uwezo wa vyuo vyetu na tunawaambia tupo juu.