Vyuo vya elimu ya juu pamoja na wizara ya elimu chunguzeni hili na mchukue hatua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vyuo vya elimu ya juu pamoja na wizara ya elimu chunguzeni hili na mchukue hatua

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by ruhi, Sep 9, 2012.

 1. ruhi

  ruhi JF-Expert Member

  #1
  Sep 9, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,409
  Likes Received: 778
  Trophy Points: 280
  Wanajf naombeni michango yeni nikijua kua umu ndani kuna wadau wa elimu pamoja na wasimamizi wa sekta nzima ya elimu.Kuna tabia ambayo inazidi kukua na kuenea kwa kasi sana miongoni mwa wanafunzi pindi wanapokua field,kwani wanafunzi wengi sana wanadiriki kuacha kuendelea kufanya field pindi tu masupavisor wao kutoka vyuoni wanapomaliza kuwaases.
  Kwani wanafunzi wanadiriki kupika ripoti na kuwapelekea wasimamizi wao wa vitengo ili wasain na wao pia wanakubali,cha kujiuliza je akuna barua na maelekezo yanayotoka chuo husika kuhusu mwanafunzi na msimamizi wake pindi anapokua FIELD? najua kua sio rahisi kwa chuo kumwekea supervisor/mkuu wa kitengo husika wa mwanafunzi akiwa field masharti mbalimbali,lakini wizara husika inafanya kazi gani? kwani wanafunzi wenyewe wanalipwa pesa na serikali kama mkopo ili waweze kupata ujuzi nje ya chuo pamoja na uzoefu kazini.
  Je kisingizio cha wanafunzi kua wanafanya kazi ngumu bila malipo ni sababu ya wao kuacha field? kwani makampuni au mashirika mbali2 si wanjua kua ili ni sehemu ya kujifunza?
  Je vyuo husika wanasemaje kuhusu masupervisor wanaosupervise wanafunzi nje ya maeneo yao ya kazi? wakati huo supervisor amelipwa kwa ajili hiyo, mwanfunzi anafanya field magu mwalimu wake anamwita mwanza mjini kumwases,kwa kweli suala hili lisipohangaliwa na kutafutiwa ufumbuzi wa haraka itazidi kushusha elimu yetu .
  Na je kwanini suala la wanafunzi kupata sehemu ya kufanyia field inakua ngumu kila kukicha?
  Je kama field ni sehemu ya mafunzo kama ilivyo vyuoni,kwanini wizara isithibiti ili suala la makampuni/mashirika na taasisi mbalimbali kunyima wanafunzi nafasi ya kufanya field?
  Kama nafasi ya kujifunza ndo inakua ngumu ivi je vp kuhusu ajira?
  NAOMBA KUWASILISHA HOJA..
   
 2. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #2
  Sep 9, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  ndugu yangu umeshawahi kwenda field?nisikufiche hela ya field haitoshi na life ni ngumu kwaiyo hakuna njia zaidi ya hiyo kaka
   
 3. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #3
  Sep 9, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Andiko lako ukiliweka katika paragraphs litapendeza na kusomeka kwa urahisi.
   
 4. Mshawa

  Mshawa JF-Expert Member

  #4
  Sep 9, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 711
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Wewe unataka nini field?, nafasi za field kutokupatikana?, wanafunzi kutoroka field? walimu kuita wanafunzi mjini na kumuasses?, too complex mkuu zungumza kwa hatua binafsi sijakuelewa...
   
Loading...