Vyuo vya clinical medical vya serikali

sima salva official

JF-Expert Member
Jun 21, 2017
210
89
Naombeni mnisaidie vyuo vya clinical medical vya serikali nina ufaulu wa c kwa chemistry B biology,c math na D physc na B ya english
 
Vingi tu mkuu, ingia NACTE utaviona... kwanza mpaka mda huu ulikuwa unasubiri nn kuomba kwa ufaulu mzuri kama huu... au unataka mpaka dealine
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom