Ili kuboresha elimu ya chuo kikuu nchini wamiliki vyuo hivyo wanatakiwa kujipanga ki-lasilimali-watu. Ili kuimalisha quality ktk vyuo hivyo, tutorial assistants wazuiwe/wasiruhusiwe kufundisha ktk vyuo vikuu vyote nchini. Wao wabaki ktk majukumu madogo madogo ya kuwasaidia wahadhiri. Professors, PhD na Masters holders tu ndiyo wafundishe. We must be serious. Tuachane na elimu za bla bla. TCU wangeiweka marufuku hiyo kisheria ili iweze kutekelezwa vizuri.