Vyuo vikuu vya tanzania vingine viige mfano huu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vyuo vikuu vya tanzania vingine viige mfano huu!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kubingwa, Jan 16, 2012.

 1. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #1
  Jan 16, 2012
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nimekuwa nikijiuliza muda mrefu sana kwa nini vyuo vikuu vya Tanzania havina matawi yake ktk nchi za Africa Mashariki ingali huku Serikali ya Tanzania ikiwahimiza Watanzania kuchangamkia fursa za ajira wakati hata vyuo vikuu vyake vinashindwa kuwa na matawi katika nchi za Afrika Mashariki.
  Wenzetu Kenya na Uganda wamejitahidi kuchangamkia fursa ya kielimu kwa kufungua matawi ya vyuo vyao vikuu.
  Mfano Kampala University wana tawi Dar es Salaam na Jomo Kenyatta University wana tawi lao Arusha.

  Na hatimaye Open University of Tanzania (OUT)hatimaye wamevunja ukimya nadhani wana tawi Nairobi maana nimeona tangazo lao kupitia Citizen Tv ya Kenya kwa kushirikiana na Institute of Human Resource Management cha Kenya.
  Vyuo vingine vinangoja nini au ndo ukiritimba?
  Vyuo vikuu vingine vya Tanzania muige mfano huu.
   
 2. MKANKULE

  MKANKULE JF-Expert Member

  #2
  Jan 18, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 422
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Umesema jambo la uhimu sana ndugu imefika wakati viongozi wa vyuo waache ukiritimba,wanafuzi wakidai mikopo yao wanafukuzwa,madaktari wanafuzi wakiomba stahili zao wanafukuzwa na wagonjwa wanapoteza maisha
   
Loading...