VYUO VIKUU vya Tanzania havitambuliki kimataifa!!!

Nzowa Godat

JF-Expert Member
Jun 15, 2011
2,783
819
Kuorodhesha vyuo vikuu
kulingana na umaarufu ni
desturi inayokua kwa kasi sana
katika sekta ya elimu ya juu.
Orodha hiyo, inayojumuisha
vyuo vikuu vilivyo maarufu
zaidi duniani, ina walakini
kwani bara zima halimo.
Hutapata hata chuo kimoja
kutoka bara la Afrika kwenye
orodha hiyo.
Vyuo vikuu vilivyoorodheshwa
ni vya Marekani, Ulaya na
baadhi kutoka China na Korea
Kusini huku Afrika ikiwa
imesahaulika.
 
Sa we ulitaka tz itambulike kwa elimu gan ilyopo nchin,elimu ka ya udom,udsm,sua au cjui ifm na iaa unaweza ukairnganisha na vyuo ka MIT,Havard,cambridge na oxford kweli..
 
mimi nadhani vigezo vikubwa ni research zinazofanyika katika vyuo hivyo na contribution yake katika maendeleo ya dunia.Sasa kama hakuna research ya maana iliyofanyika kwenye vyuo vyetu unategemea nini?
 
Sa we ulitaka tz itambulike kwa elimu gan ilyopo nchin,elimu ka ya udom,udsm,sua au cjui ifm na iaa unaweza ukairnganisha na vyuo ka MIT,Havard,cambridge na oxford kweli..
we jamaa smtimes view then go! Ueleweki pia huelewi
 
Kuorodhesha vyuo vikuu
kulingana na umaarufu ni
desturi inayokua kwa kasi sana
katika sekta ya elimu ya juu.
Orodha hiyo, inayojumuisha
vyuo vikuu vilivyo maarufu
zaidi duniani, ina walakini
kwani bara zima halimo.
Hutapata hata chuo kimoja
kutoka bara la Afrika kwenye
orodha hiyo.
Vyuo vikuu vilivyoorodheshwa
ni vya Marekani, Ulaya na
baadhi kutoka China na Korea
Kusini huku Afrika ikiwa
imesahaulika
.

Imesahaulika au HAVITAMBULIKI kimataifa?
 
Kwani vyuo vya AFRIKA vimeanzishwa lini ukilinganisha na hivyo vya wenzetu???jibu utakalopata lifanyie kazi utajua ni kwa nini!
 
Back
Top Bottom