Vyuo vikuu UDSM, UDOM mnachelewa nini kumpa udaktari wa heshima Masoud Kipanya

Kwa content zinazoleta mijadala mipana katika jamii bado naulizaa mnachelewa nini kumpaa heshima yake masooud kipanya???
IMG_20211002_182037.jpg
 
Angekua mtu wa Nje wangempa au katoon zake zingekua za mlengo wa kulia...huko kushoto wakitoa na Serikali haipendi hizo katoon wataonekana wapo kinyume na waajiri wao...
 
Back
Top Bottom