Vyuo Vikuu na ada zake.

Dingswayo

JF-Expert Member
May 26, 2009
4,019
2,923
Wakuu naomba kufahamishwa wapi nitapata data kuhusu idadi ya vyuo vikuu vilivyopo nchini na ada zake. Vilevile kama kuna mwenye data hizo naomba anipatie.

Naomba pia kujua ada za shule za msingi (shule za serikali) na za sekondari.

Natanguliza shukrani.
 
kuhusu vyuo ingia google search tcu guidebook ipakue humo utakuta orodha ya vyuo na ada zake
 
Back
Top Bottom