Vyuo vikuu mbona kimya. Hapa tunapanga ratiba ya migomo vyuo vyote.toa mapendekezo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vyuo vikuu mbona kimya. Hapa tunapanga ratiba ya migomo vyuo vyote.toa mapendekezo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by RICHMAHOO, Jan 29, 2011.

 1. R

  RICHMAHOO Member

  #1
  Jan 29, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  :peace:migomo imekuwachachu na msukumo wa mageuzi katika nchi. kupitia Jf tunapenda kuwaalika ni namna gani tunaweza kufanya migomo na maandamano yenye mafanikio.pia migomo itaanza mwezi huu mpaka mwezi wa kumi na mbili na kazi tutakuwa tgumeshamaliza. migomo ya sasa ni lazima tuwe na uwezo wa kuwazibiti vibaka wanaojiita police
   
 2. Freestyler

  Freestyler Senior Member

  #2
  Jan 29, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 199
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  :A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down:
   
 3. T

  Technology JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 733
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  then????
   
 4. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,114
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  its gud
   
 5. M

  Mtabe JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mgomo wenye lengo gani?
   
 6. n

  niweze JF-Expert Member

  #6
  Jan 30, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Vijana tunajua jinsi gani tunavyo nyanyaswa na hiki chama cha CCM. Tunataka nyie vijana hasa Dar, Dodoma, Mwanza na miji mingine muanze kusukuma na kuorganise migomo na maandamano miji hii. Tumieni social network kama JM, Facebook, na mobile phones kucommunicate ili kutuma messages. Maandamano na migomo sio swala la serikali wala sio swala la kuvunja sheria, hii ndivyo serikali ya Tanzania inawadanganya Watanzania kila siku kuandamana ni haki ya kila raia dunia kote na hili swala la kuandamana linaonekana CCM wanatucheka na kuwatumia polisi kuwatishia wananchi. Tunachotaka kukifanya ni kuandamana kwa amani na kudai haki ya wananchi, vijana na kupinga utawala wa CCM kwa vitendo vya kuamua kuwalipa Dowans wakijua huku wakidai serikali haina pesa kuwalipa walimu, madaktari, wafanyakazi nchini ila pesa ya kuwalipa Dowans ipo imetengwa. Hakuna hata mara moja serikali hiyo hiyo tunayoipinga ndio tukaombe vibali vya kuundamana kuwapinga wao. Hii ndio sababu inawafanya kuwa na kibuli kwa kuona tunaweza kuwaomba vibali. Tusisitize maandamano ni ya amani na hakuna kuvunya mali za watu na kufanya fujo. Tunataka kutembea kutoka chuo kikuu kwenda posta mpya na wengine waanzie mnazi mmoja tukutane posta mpya. Twendeni tushikane mikono na tuwape habari njema ya amani kwamba hatuwataki na tunataka CCM muondoke serikalini. "Maandamano ya amani ni Haki ya Kila Raia" Tanzania tunajua CCM polisi-wahuni ndio tatizo kubwa Tanzania.

  The right to form groups, to organise and to assemble together with the aim of addressing issues of common concern is a human right. The ability to organise is an important means by which citizens can influence their governments and leaders. The right to freedom of association and assembly is protected in international and regional human rights treaties. These rights are applicable to any issue. Mass protest is a potent symbol of the exercise of this right.

  The right to freedom of association appears is guaranteed many international human rights treaties. However, the right has been most defined and elaborated in international labour law given the particular links between these rights and the ability of workers to secure their economic and social status. Freedom of association is one of the central provisions underpinning the work of the International Labour Organization (ILO). ILO standards uphold the rights of workers and employers to form organisations and to bargain collectively.

  In Davos, world leaders urge Egypt to guarantee freedoms amid protests there

  The Universal Declaration of Human Rights

  The Universal Declaration of Human Rights
   
 7. n

  nyantella JF-Expert Member

  #7
  Feb 1, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45

  Wanafunzi lets speculate the outcome of this kama mkisikiliza upuuzi huu, matokeo yake ni haya:
  1. All of you will go home until further notice because vyuo vyote vitafungwa (and some might not come back!), home is sweet but not always especially for intellectuals;
  2. Some of you who are to graduate in this year are to wait till when all is over and it may take long time for things to normalize;
  3. The government functioning at this time will be having some other priorities and you will defantely and logically not be the priority at that point in time;
  4. you may add dome other speculations!!
  So when somebody uses you think rationally of your future and decide accordingly.
   
 8. n

  nyopa84 Member

  #8
  Feb 1, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha uoga kaka revolution sio kama kwenda picnic au kuchora picha. Inahitaji susrification ili hao watakao baki wa enjoy the real stake of the beloved country Tanzania
   
 9. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #9
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Reason????????????
   
Loading...