Vyuo Vikuu kufunguliwa wiki ijayo. Huyu msichana wa UDSM nimeshamkosa

Sharobaro la jf

JF-Expert Member
Apr 23, 2020
237
323
Wakuu poleeni na miangaiko ya hapa na pale.

Leo Mkuu wetu wa Nchi, JPM ametangaza kuanzia wiki ijayo atafungua Vyuo vyote Vikuu kwani anadai ugonjwa wa COVID-19 ushaisha na Tanzania ni salama kabisa🙏🙏🙏,

Nije kwenye mada hapa kitaani kuna msichana mmoja namfukuzia ni Mwanachuo pale UDSM, kiukweli ananipa changamoto sana kwani ni mtoto wa gheti kali sana, toka juzi namfukuzia nipate namba yake lakini nakosa muda wa kumuona, mara nyingi nikimuona huwa yupo na mshua wake sijabahatika kupata nafasi ya kuonanan naye live akiwa pekee yake.

Kwa hali hii ya kufunguliwa vyuo wiki ijayo nakiri kuwa huyu Mwanachuo nitamkosa hivihivi na akitimka kurudi kitaani hapa hadi mwakani kwani toka alipokuwa Chuo kabla havijafungwa hajawahi kurudi zaidi tu ya hii likizo ya Corona.

Nipeni maujanja wakuu nitumie mbinu ipi kumtia mkononi huyu dada?
 
Wewe mleta mada ni kula kulala ndio maana unawaza ngono tu kwa huyo denti wa chuo.
Kama sio kulala chukua pesa kamtafute anapokuwa chuo mpe good time na pesa za kutosha atakufa unachokitaka.
Simple like that sio kuja kuanzisha nyuzi za kikumari!!
 
Ukiona maji yamezidi unga mfate akiwa na mshua wake.. Rusha mistari yako hapo hadi mzee aseme "binti yangu si' umkubalie huyu kijana? Ningekua mimi ningeshakubali"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom