connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 1,736
- 2,294
Vyuo tajwa vipo hoi kifedha mathalani SAUT Tawi la Arusha hatujalipwa mwezi wa tatu sasa. St. John's centre ya Kigoma imefungwa kwa kukosa wanafunzi. Hakika twafwa na elimu yetu ya kuunga-unga.
Twende wapi na tumesoma vyuo vya kanisa tukiomba kazi pale UDSM sijui SUA hawatupi hata kazi ya ulinzi. Wanatudharau sana asee. Wanadai sisi eti KIWANGO DUNI (KIWADU).
Twende wapi na tumesoma vyuo vya kanisa tukiomba kazi pale UDSM sijui SUA hawatupi hata kazi ya ulinzi. Wanatudharau sana asee. Wanadai sisi eti KIWANGO DUNI (KIWADU).